Siyo tu kwenye kampuni na taasisi, lakini hata Tanzania kama nchi,imejulikana kuwa na tatizo kubwa la rushwa. Wanawake pamoja inataka kubadilisha hili .Kwahiyo Hatuvumilii kabisa rushwa katika taasisi yetu na tuna sera kali za kupiga vita rushwa na zilizo wazi.

Ukurasa huu ni maalum kwa watumiaji wetu na wateja wetu, kutengeneza ripoti rahisi na fupi kwa mwenyekiti wetu wa bodi, kama wanakutana na aina yoyote ya rushwa kwenye taasisi yetu.

Unapata matatizo yoyote kwenye taasisi yetu? Toa taarifa hapa:

Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.